Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MWANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA MBAO YENYE MISUMARI KUTOKA GOROFANI ILALA BUNGONI

MWANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA MBAO YENYE MISUMARI KUTOKA GOROFANI ILALA BUNGONI

Ghorofa linalojengwa katika eneo la Ilala Bungoni mtaa wa mafuriko jijini Dar es salaam bila kufuata sheria ya kuweka vizuizi kwa ajili ya usalama wa watu,imesababisha kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka 6 baada ya kupigwa na mbao yenye misumari iliyorushwa kutoka juu ya ghorofa hilo na kufariki papo hapo..
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI KWA HABARI ZAIDI...

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa