Sababu zilizomfanya atengeneze Safina hilo ni hofu yake juu athari za machafuko ya kidunia, ambayo anaamini siku moja yanaweza kufika hadi nchini mwake, mafuriko yakiwa moja kati ya athari hizo.
Idea hiyo ilikuja mnamo mwaka 1992, pale msanii huyo alipoota juu ya nchi yake kuzama kwenye maji kutokana na mafuriko sawa na yale ya kwenye Kitabu cha Mwanzo.

