Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MR.NICE AKANWA NA MII KENYA -"HE IS NOT MY TYPE"

MR.NICE AKANWA NA MII KENYA -"HE IS NOT MY TYPE"

Mwezi uliopita katika mkutano na waandishi wa habari wa Kenya nyota wa Tanzania Lucas Mkenda a.k.a Mr Nice alitamka kwamba pamoja na kazi za muziki atakazokuwa anazifanya nchini humo lakini pia atakuwa anamsearch wife material sababu ana mpango wa kuoa binti mkenya. 

 
Hivi karibuni kuna tetesi zilienea katika mitandao ya Kenya kuwa huenda Miss Kenya 2012 Shamim ndiye atatimiza malengo ya Mr. Nice ya kuoa mkenya,  kutokana na kuonekana pamoja mara kadhaa na katika muonekano wenye dalili zote za mapenzi 'activated'.

Lakini taarifa hizo zimekanushwa na binti huyo mrembo Shamim ambaye amesema hawezi kabisa kudate na Mr. Nice sababu sio type yake!

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa