Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAMBO AMBAYO MWANAMKE AKIFANYA UPOTEZA HAMU YA MAPENZI KWA MPENZI WAKE

MAMBO AMBAYO MWANAMKE AKIFANYA UPOTEZA HAMU YA MAPENZI KWA MPENZI WAKE

Umesha waza ni nini ambacho wavulana hawapendi kukiona kwa mwanamke na zinaweza kumfanya akakupotezea kabisa? Basi hivi ni vitu kumi ambavyo wavulana wengi hawapendi kwa wasichana na hupelekea mvulana kuachana na msichana na kuamuwa kwenda kwa mwingine.

Kufikiri kidogo:
Mwanamke ambaye huwa haitaji kusikiliza mawazo ya mwanamume hamini kwamba yeye anaakili sana na hili linampelekea mvulana ajihisi kutokuwa na furaha juu yake. Kuwa na mwazo ambayo yametanuka na pia kumsikiliza mvulana wako anasema nini, hii itasababisha kutanuka kimawazoi kuliko kuwa na uongeaji na kuchukua maamuzi marahisi na yasio na mapana.
Kupoteza uaminifu kwa guy wako:
Kumkubali kuwa guy wako ni handsome na kila msichana anampenda sio mbaya, lakini kuvuka mipaka na kuanza kuwa na wivu juu ya mpenzi wako na kukosa uaminifu kwake ndio vitu ambavyo guys huwa hawapendi. Kumbuka "Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea". Kudhani kwamba mpenziwako anapoongea na wasichana wengine basi anakusaliti itapelekea yeye atemane na wewe.
Fikra za kike:
Mwanamke hapendi mvulana ambaye anamganda ganda sana, wala mwanaume hapendi msichana ambaye anamkanya kanyaka sana. Frika nyingi za kike hupenda kuwa mwanake anachotaka kufanya ndicho mvulana naye akifanye kitu ambacho hakipo.
Ulalamishi:
Wanawake wengi hupenda kuwa watu wa kulalamika na kulaumu pale kitu kinaposhindikana. Elewa yakuwa sio kila kitu kinawezekana na muda ambao umekusudia bali kinawezekana kwa muda ambao Mwenye Enzi mungu kakusudia hivyo mwanamke mwenye tabia ya kulalama na kung'ang'ania mambo au kurudia mambo yaliyopita hurahisisha nja ya kukimbiwa.

Usumbufu/Kupelekesha:

Hata siku moja hamna anayetaka kuwa mtumwa kwenye mapenzi, hasa mvulana ndie hapendi kabisa kutawaliwa au kulazimishwa. Msichana ni vyema akatowa muda wa guy wake kufanya shuguli muhimu ambazo anatakiwa kufanya na sio kila saa kupiga simu au ku sms na kulalamika kuwa huwezi kufanya kitu bila kumjiza mpenziwako. Sawa ni vyema kujuzana yale ya muhimu lakini sio kusumbua kwa kila mara. Utasababisha guy wako akuchoropoke kwa kumsonga zonga.
Maoni na Mitazamo:
Wavulana sio kama wasichana ambao wanakubali mambo mengi kiurahisi, Pia wanapenda kupingana na vitu vingi hata kuonekana ni wabishi lakini kwa maranyingi huwa wanamaana na makusudio yao ili kuthibitisha na kuweka jambo sawia.
Mwanadada ni vyema ukaweka mda wa kumuheshimu mpezi wako pale anapotoa wazo au kupinga kitu kutokana na mtazamo na kutumia njia nzuri ya kuelezana.
Shukarani:
Wasichana wengi humtumia mvulana na pasipo kuwaza kuwa inaweza ikatokea siku akawa hakuitaji tena. Kwenye mapenzi ya kweli ni vyema kuheshimu na kuonyesha shukrani kwa kile mpenzi wako ambacho anakifanya kwenye maisha yako haijalishi hata kama ni kidogo, siokweli kama ataweza kuvumilia na kuwa na wewe milele.
Give Appreciation.

Kujiwekea makeup nyingi:
Unatakiwa kujiremba kiasi kutokana na muonekano wa uso wako, lakini ukijiremba zaidi inafanyika kama kituko.
Mavazi:
Mavazi ni kivutio kwenye mapenzi ambayo yanaonyesha urembo.
Tabia:
Usiwe mtu wa kukera na kumkwaza mtu, Kwenye kuongea, kusikiliza na hata kufanya shughuli yako. Kama umeona unatabia tofauti na uliyenaye ni vyema kuchaguwa tabia au mpenzi kuliko ku ng'ang'ania vyote. Mwisho wa siku utaachika na kulaumu.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa