Hujawahi kujiuliza kwanini unampenda mvulana kwa muda wote lakini yeye anakuacha na kwenda kwa mwingine? Japokuwa inauma lakini kuna sababu zanazopelekea.
Hizi zinaweza kuwa ni sababu.
Mvuto.
Nivigumu kutambua lakini namana navyo enda anaweza kuwa na mvuto zaidi yako, Na kwanmna yeyote ile huwezi kumlaumu yeye kwa hilo. Wavulana wanahitaji msichana atakaye tuvutia japokuwa furaha ya mvulana mmoja inaweza kuwa maumivu kwa msichana mmoja na mvulana mwingine.
Hizi zinaweza kuwa ni sababu.
Mvuto.
Nivigumu kutambua lakini namana navyo enda anaweza kuwa na mvuto zaidi yako, Na kwanmna yeyote ile huwezi kumlaumu yeye kwa hilo. Wavulana wanahitaji msichana atakaye tuvutia japokuwa furaha ya mvulana mmoja inaweza kuwa maumivu kwa msichana mmoja na mvulana mwingine.
kwenye mvuto hapa kunajihusisha na "how u take care of your self"
Msichana ana muamini.
Msichana akitokea kumuamini sana mpenzi wako kuliko wewe unavyo muamini basio jiandae kulia. Kama umekuwa unasubiri mpenzi wako akienda bafuni unakagua simu yake na wakati mwingine akajuwa, basi atakapoona kuna mwingine ambaye hawezi kufanay hivo yeye atakuwa radhi kwenda kwa huyo.
Ana muheshimuMsichana akitokea kumuamini sana mpenzi wako kuliko wewe unavyo muamini basio jiandae kulia. Kama umekuwa unasubiri mpenzi wako akienda bafuni unakagua simu yake na wakati mwingine akajuwa, basi atakapoona kuna mwingine ambaye hawezi kufanay hivo yeye atakuwa radhi kwenda kwa huyo.
Udhaifu wa wavulana wengi nipale anapo pewa heshima na mpenzi wake na hiyo ni siliha kubwa sana kwa mwanamke. Kwahiyo usishangae ikawa ni sababu ya yeye kukuacha na kwenda kwa mwanamke mwingine. Nisababu amepata anaye muheshimu.
Kuwa muwazi.
Namaanisha kuwa wasichana wengi wanshindwa kuwa wawazi kwa mpenzi wake. So a guy anapopata msichana ambaye ni muwazi basi itakuwa rahisi kwa yeye kwenda kujiridhisha naye.
Kujiamini.
Guyz huwa wanapenda msichana anaye jiamini na kujikubali. Kwa muonekano wake na kwa vile anavyofanya pasipo kuiga kwa yeyote. So inaweza ikawa ni moja ya sababu ya yeye kwenda kuko.