Tukio hili limetokea Ludhiana nchini India ambapo vijana wanne walimpiga mwanamke ambaye hakutambulika kwa jina kwa kutumia nondo, vijana hao walitumia nondo hiyo kama fimbo wakimpa kipigo kikali sana huyo mwanamke.
Cha kusikitisha ni kwamba , walikuwa kutumia nondo kama fimbo wakimchapa mwanamke huyo lakini watu walitakazama tu hakuna msaada wowote uliotolewa kumsaidia mwanamke huyo.
Inadaiwa mwanamke aliuliza mmoja wa watuhumiwa kurudisha fedha yake ambayo yeye aliwakopesha. Haya ndio malipo kwa ajili ya kuwasaidia watuhumiwa walipokuwa na shida. kweli huu ni ubinadamu?
VIDEO ANGALIA HAPA!!
