Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » RECHO WA BONGO MOVIE NAE NDANI YA MALOVEDAVE KWEUPE

RECHO WA BONGO MOVIE NAE NDANI YA MALOVEDAVE KWEUPE



Tukio hilo MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rechael Haule ‘Recho’ amenaswa akipeana malovee hadharani na jamaa’ke anayejulikana kwa jina la Saguda George.lililoibua minong’ono lilitokea juzikati katika Viwanja vya Leaders jijini Dar wakati staa huyo na wenzake walipokwenda kula raha zao ambapo ilidaiwa kuwa kilevi kilipofika mahali pake, ndipo wawili hao walipoanza kubusiana hadharani.
 
“Mh! Hawa nao ifike wakati waoane kama wenzao kina Kupa, wamedumu katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, kwa nini waendelee kujiibaiba hivi?” alihoji msanii mkubwa wa filamu aliyeomba hifadhi ya jina lake.

 

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa