Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA MBALIMBALI ZA MAOMBOLEZA WA MSIBA WA BIBI KUDUDE

PICHA MBALIMBALI ZA MAOMBOLEZA WA MSIBA WA BIBI KUDUDE


Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude,  Zanzibar
Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi)
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude
Guru G na Mh Bhaa mazikoni
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude
Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa