| Huyu Ndio Henry Aliye Uawa |
![]() |
| Mbunge Wa Arusha Mjini Godbless Lema Akiwatuliza Wanafunzi Wa Chuo Hicho |
----
Taarifa Kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha zinadai kuwa Mwanafunzi Wa BEF 2 anayejulikana kwa jina la Henry ameuawa kikatili na watu wasiofahamika....
Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami. Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Inasemekana Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....
Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja wa Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo....
Rafiki Aliye Kuwa Nae Inasemekana Alichomwa Kisu Cha Tumboni Na Kuachwa Akishuhudia Mwenzake Akipoteza Maisha.
Picha ya marehemu Henry Koga baada ya kuchomwa kisu na kufariki hapo hapo jana usiku katika chuo cha uhasibu Arusha.....
Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....
Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja wa Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo....Mauaji hayo yamesababisha vurugu kubwa chuoni hapo zilizopelekea kupigwa mawe mkuu wa mkoa
PICHA ZA VURUGU ILIYOTOKEA ANGALIA HAPA CHINI
Vurugu kubwa zimeibuka chuo cha uhasibu cha Arusha baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki dunia....
Baada ya tukio hilo, wanafunzi walitoa taarifa kwa mkuu wa chuo lakini hakuwapa msaada wowote.
Walipokosa msaada,wanafunzi hao walianza kuandamana na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Godbless lema ....
Mbunge huyo bila hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao maana nyumbani kwa Godbless lema si mbali na chuo hicho ...
Baada ya taarifa kumfikia Mkuu wa mkoa, ilimbidi aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada ya kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea kwa lugha mbovu na ndipo wanachuo walipo kasirika na kuanza kumpiga mawe.
Hali ilipochafuka,FFU waliingia kazi ya kutuliza ghasia...Hali ni mbaya sana lakini cha kushangaza askari mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema
Godbless Lema anasakwa mpaka sasana hajulikani alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.








