Ninafahamu kuna vifaa vya ulinzi vya bei rahisi kabisa vya kusachi namna hii bila kumbughuzi mtu hapo ndipo ninaposhangaa kwa nini walinzi wanafanya mikono yao kuwa vifaa vya ulinzi? ni kweli mikono inaweza kuhisi bomu lililofichwa?
KWA STAILI HII YA KUSACHI KWA SECURITY!! WEWE UNAONAJE!
Hivi ndivyo inavyokuwa nigeria , kutokana na kundi la boko haramu kufanya mauaji kwa mabomu .angalia hawa wasichana jinsi wanavyosachiwa je ilikuwa ni muhimu kwa wadada hawa kuweka mikono yake sehemu za siri, tena kwa wakati huu wa sayansi na technolojia huu ni uzalilishaji.