Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » JUMA NATURE AMDISS MISAGO KWENYE NYIMBO YAKE MPYA'FITINA' BAADA YA KUFUKUZWA KWA KUVAA NDALA

JUMA NATURE AMDISS MISAGO KWENYE NYIMBO YAKE MPYA'FITINA' BAADA YA KUFUKUZWA KWA KUVAA NDALA


Misago 2
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi, hajakichukulia poa staa huyo.Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fitina.
Katika wimbo huo Nature anachana, “Halafu watu wengine sijui wanakuwaga ni mapimbi, eti msanii kaingia studio na ndala na amevaa pensi hakujua anayosema kwenye Facebook na Twitter sijui kisa hela alizopewa na mameneja feki wasiopenda wa Uswazi, mzomeeni huyo, sasa kazi kwake na raia wake.”
Kisikilize kipande hicho hapa chini

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa