Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HUYU NDO BABU WA MIAKA 64 ALIYEWEZA KUSHIRIKI MBIO ZA KILOMITA 21 NA KUSHANGAZA WATU

HUYU NDO BABU WA MIAKA 64 ALIYEWEZA KUSHIRIKI MBIO ZA KILOMITA 21 NA KUSHANGAZA WATU

Hapa babu akiwa tayari kwa mashindano zidi ya maralalia
Babu akiwasili uwanja wa mazigira bora akisindikizwa na wapambe
akisaidiwa kutoa namba yake ya ushiriki ili kuhakikiwa baada ya kumaliza salama
hapa akipokea  huduma mbalimbali kutoka kikundi cha msalaba wekundu
 Babu  huyo alitumia zaidi ya masaa matano kutoka geti kuu la Hifadhi ya Taifa za Ngorongoro hadi uwanja wa mazingira bora Karatu, mashindano yalifanyika mji wa Karatu ni  kwajili   ya kupambana na Malaria yeliandaliwa na kampuni ya Utalii Zara Tanzania Aventure na kuzaminiwa naTigo.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa