JOSEPH MBILINYI:
"Mambo mengi ya nchi hii hayaendi kutokana na SERIKALI PUMBAVU....
Hatuwezi kuwa na WAZIRI WA ELIMU BOYA mwenye elimu ya kuunga unga halafu tufanye vizuri katika sekta ya elimu , haiwezekani."
LIVINGSTONE LUSINDE:
"Siwezi kuikubali taarifa hiyo.Nadhani huyu mtu bado amechanganyikiwa na uchaguzi wa kenya.Mimi sijaitaja Chadema bali nimesema kuna chama kimoja cha siasa,SIJUI YEYE ANAWASHWA NINI..!!
JUMA NKAMIA:
Sugu naomba unyamaze.Mimi ndiye nazungumza.Mimi siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa.
Khatibu Saidi Haji (Konde - CUF)
Alimtukana Freeman Mbowe mbunge wa Hai kwa kusema "Mbowe kaja hapa anajambajamba tu" akilalamikia hoja ya Mbowe kuhusu idadi ya watu wa visiwani. Alimtukana Mchungaji Msigwa: "Wewe Msigwa ni mchungaji wa watu au mchungaji wa nguruwe? "Alitoa tusi hilo kutokana na Mchungaji Msigwa kutoa kauli ya kwamba Zanzibar kuna udini.

