Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BINTI AJIFANYIA MSIBA WAKE ANGALI HAI NCHINI CHINA

BINTI AJIFANYIA MSIBA WAKE ANGALI HAI NCHINI CHINA

Zeng Jia (22) ni mwanafunzi huko China ambaye aliamua kufanya msiba wake huku akiwa hai. Alitaka kujua siku hiyo itakuaje sababu hatoweza kuishuhudia itakapotokea kweli.Pia alitaka kujua watu wangemfikiriaje juu ya uamuzi huo. Siku hiyo ilihudhuriwa na waombolezaji ambao walionekana kuhuzunika kama vile ni msiba wa kweli.
 
Hapa akiwekwa vizuri ili msiba uendelee
 
Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
 
Akiongea mbele ya waombolezaji baada ya kuamka

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa