Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BAADA YA JUMA NATURE KUSHINDWA KUFANYA INTERVIEW JANA KATIKA TV KUTOKANA NA KUVAA NDALA NA AKIWA AMEKUNYWA POMBE ,HII NDIYO KAULI YAKE.

BAADA YA JUMA NATURE KUSHINDWA KUFANYA INTERVIEW JANA KATIKA TV KUTOKANA NA KUVAA NDALA NA AKIWA AMEKUNYWA POMBE ,HII NDIYO KAULI YAKE.


 
 
MSANII Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Juma Kasim Kiroboto a.k. Sir nature,Kibla jana usiku alikuwa na Interview ya TV, lakini ilihailishwa baada ya msanii huyo kufika pale akiwa amevaa ndala na akiwa amekunywa pombe,

Ameumia sana kitendo cha kutofanya interview kwakuwa alivaa ndala na kaamua kusema hiviii "Kweli nilienda kwenye interview nimevaa ndala. Lakini niambie angeenda mzungu pale na ndala wangesitisha mahojiano? Sawa kunywa nilikuwa nimekunywa lakini kuna kibaya niliongea? Mbona mtangazaji alikuwa kavaa hovyo tu? Wamenikera na ngoma zangu sipeleki tena hata moja pale."
Hivyo ndivyo Nature alivyosema Tomaoni yako shabiki wa Muziki na Shabiki wa Juma Nature
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa