Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WAOMBA ANALOGIA IRUDISHWE

WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WAOMBA ANALOGIA IRUDISHWE

Wamiliki wa vituo vya utangazaji nchini wameomba kuruhusiwa kwa muda matumizi sanjari ya mfumo wa utangazaji wa analojia na digitali ili wananchi wasio na uwezo waendelee kupata habari kupitia luninga kama zamani.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa