Msichana ambaye hakuweza kutambulika apata kipigo kikali na kuvuliwa nguo baada kuiba simu dukani .Tukio hili ambalo lilitokea mtaa wa agrey kariakoo jijini Dar es salaam baada ya msichana huyo kujifanya mteja wa simu kumbe ni mwizi .
Baada ya kugundulika ameiba simu hiyo mmiliki wa duka hilo alisema " msimpige tumvue nguo halafu tumuachie aende zake" lakini wananchi hawakujali waliendelea kumpa kipigo hatimaye kumvua nguo, ndipo mwizi huyo alipoamua kupiga makele ya msaada kwa wanausalama ambao walifika eneo la tukio. Baada ya kudhalilishwa kwa muda mrefu ,Polisi walitokea na kumtia mbaroni msichana huyo .
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI!!