Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO YA TUKIO:'MTUHUMIWA AFUNGWA KWENYE GARI YA POLISI NA KUBURUZWA MPAKA KUFA'

VIDEO YA TUKIO:'MTUHUMIWA AFUNGWA KWENYE GARI YA POLISI NA KUBURUZWA MPAKA KUFA'

Dereva Tax aitwaye Mido Macia, 27 raia wa Msumbiji alifariki Dunia huko Afrika Kusini baada ya kutendewa unyama na polisi kwa kufungwa nyuma ya gari na kuburutwa hadi kufa. Hii ni baada ya kijana huyo kuegesha gari yake sehemu isiyo ruhusiwa. Baadae alifariki baada ya kupata ya kichwa na kutokwa damu nyingi akiwa mahabusu. Tukio hili lilitokea mchana mbele ya watu waliokua wakishangaa na wengine kurekodi.






 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa