Mtazamo wangu juu ya hizi nguo wanazovaa hawa dada zetu wa 'KILEO' unavunja sana heshima kwao na kuonekana hawana thamani teo...ndio maana wanadhalaulika na kuonekana kila wakati hawana mchango katika jamii na badala yake wanaonekana wako chini ya wanaume hata kimawazo...
Hii inatokana na woa wanavyojiweka katika jamii husika,kwa mfano unamkuta mama mtu mzima amevaa nuo za aibu kwenye kumbi za starehe wakati hapo alipo yuko na vijana wengine ni wadogo kwa lika lake
mfano
HUU NI MTAZAMO!! WEWE MSOMAJI UNAONAJE JE NI SAWA KWA DADA ZETU KUFANYA HAYA WANAYO YA FANYA???
TOA MAONI HAPO CHINI....! KWA MTAZAMO WAKO