Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MASOGANGE AKIMBILIA SOUTH AFRICA KISA MAKALIO YAKE

MASOGANGE AKIMBILIA SOUTH AFRICA KISA MAKALIO YAKE

                                       Agnes Gerald ‘Masogange’.‘VIDEO Queen’ maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi amekuwa akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo yalivyomchosha huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa ikiwa moja ya sababu.Akipiga stori juzikati, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.
“Muda mwingi niko Sauzi, Bongo miyeyusho na hili umbo langu nimekuwa nikisumbuliwa sana na wanaume lakini Sauzi hili langu la kawaida, wengi wamefungashia ile mbaya, kwa hiyo muda mwingi nitakuwa huko, huku nitakuwa nakuja na kuondoka,” alisema Masogange.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa