Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » KWA HALI KAMA HII 'ELIMU KWANZA HATUWEZI FANIKIWA' NA ILIKUA LAZIMA WAFELI

KWA HALI KAMA HII 'ELIMU KWANZA HATUWEZI FANIKIWA' NA ILIKUA LAZIMA WAFELI

Na mwandishi wa vitukovyamtaa.com
Hawa ni wadogo setu waliopelekwa shule na wazazi wetu lakini kutokana na tabia zinazofanywa na wadogozetu siku hizi ndizo zinazochangia wao kufeli na kukutwa na matatizo mengi katika jamii inyowazunguka.hasahasa wazee wetu wamekuwa na ugomvi na wadogo zetu kutokana na wao kutotaka kusikia la wazazi.Siku hizi mapenzi ndio yametawala robo tatu ya ubongo na starehe mbele wakati elimu nyuma .je Elimu kwanza tutafanikiwa wakati wadogo zetu wanazidi kufeli na hawataki kubadilika na kufuata ya wazazi?
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPO CHINI

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa