Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » IRENE UWOYA AJA NA STAILI YA KUYAANIKA MAKALIO YAKE NJE AKIWA NA SHANGA

IRENE UWOYA AJA NA STAILI YA KUYAANIKA MAKALIO YAKE NJE AKIWA NA SHANGA


Cha  kushangaza ni kwamba  picha  hii  haimpi  shida   wala  aibu......

Yeye  anada  kwamba  "yuko  kikazi  zaidi"....

Picha  hii aliipiga  wakati  wakirekodi  filamu  ya  ONE  BLOOD  ya  Tino  na  kuamua  kuisambaza..... 

Hii  ni kali....Irene  Uwoya  kaamua  kutuzawadia  makalio  yake  na  shanga zake......
Huu  ni  upotofu  mkubwa  wa  maadili  unaoendekezwa  na  hawa  wanaojiita  MASTAA.....

Kumbukumbu  zangu  zinaniambia  kuwa  Uwoya  ni  mzazi  wa  mtoto  mmoja  ambaye  walizaa  na Ndikumana  na hatimaya  wakaachana  baada  ya  kushindana  kitabia...


Swali  la  kujiuliza  ni  kwamba, Anajisikiaje  kuyaanika  matako  yake  kwa  mtoto  wake  wa  kumzaa???...Atajenga  msingi  upi  kwa  mtoto  wake  akikua????.....

Achilia  mbali  mtoto  wake, vipi  juu ya   wazazi wake, wadogo  zake, shemeji zake na  ndugu  na  jamaa???...

Irene jitambue.....umri  umeenda  sasa...unayoyafanya  hayaendani  na umri  wako.....

Umaarufu  hauji kwa  kukaa  uchi.....Wapo  akina  Lady  jaydee, Monalisa....Ni wasanii  maarufu  pengine kuzidi hata wewe....kwa nini  usiige kutoka  kwao

Kitendo  hiki  ni  sawa  na  kuwatusi   watazamaji  wa  filamu  zako
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa