Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BINTI APEWA KIPIGO KIKALI KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU KIFUA CHA DIAMOND

BINTI APEWA KIPIGO KIKALI KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU KIFUA CHA DIAMOND




Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani  Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake 
Binti akibusu kifua cha diamond
Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake

 Dada Huyu Akiwa kwenye show ya Diamond alinyanyuka na kwenda kubusu kifua cha diamond,baada ya hapo alichezeya kichapo toka kwa jamaa yake baada ya kujisikia vibaya na hicho kitendo...

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa