Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BINTI ABAKWA MPAKA KUFA

BINTI ABAKWA MPAKA KUFA


Bint aliyejulikana Mariam amekutwa na mauti  baada ya kubakwa mpaka kufa....
 
Vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.
 
Marehemu alikuwa  na  mkasa   huo wakati akitoka Nachingwea Resort(NR) katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika marehemu amelewa  na wabakaji  alitoka nao muziki.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa