Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » AKAMATWA AKIUUZA KIWILIWILI CHA BINADAMU

AKAMATWA AKIUUZA KIWILIWILI CHA BINADAMU

jamaa huyo hapo juu kakamatwa nchini nigeria akitafuta mtu wa kununua  kipande cha mwili wa binadamu, Jamaa huyu alitiwa mbaroni na polisi na kuulizwa kuwa ameutoa wapi mwili huo alisema "ni kawaida yangu kuua mtu kila baada ya siku saba na pia nafanya hivi kwa sababu mizimu ndo imenituma kufanya hivi"

huu ni unyama wa kutisha sana.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa