Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » AINA MPYA YA KUSULUBIWA KWA MWIZI

AINA MPYA YA KUSULUBIWA KWA MWIZI

 
Huyu ni mwizi wa betri ya gari akisulubiwa kwa staili ya kufungwa juu kwenye ngazi pamoja na betri aliyoiba. Hatua hii ilichukuliwa na wananchi wa Uyole Mbeya huku wakisubiri polisi waje kumchukua mwizi huyo.
Baada ya polisi kufika walimchukua mwizi huyo huku wananchi wakiwa bado na usongo wa kumpiga
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa