Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA 'TIMBULO' AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO BURUNDI.

MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA 'TIMBULO' AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO BURUNDI.


Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura .......

Habari zinadai kwamba Msanii huyo alikuwa na mpango waku endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . ......
 Mtandao huu unaendelea  kufuatilia undani  wa  tukio  hili
tagazo
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa