Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA

MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA

Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa