Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NDIO NYIMBO MPYA YA DIAMOND ILIVUJA KWA KUIBIWA KWENYE SIMU-'NA KAULI YA DIAMOND JUU YA KUVUJA KWA NYIMBO HIYO'

HII NDIO NYIMBO MPYA YA DIAMOND ILIVUJA KWA KUIBIWA KWENYE SIMU-'NA KAULI YA DIAMOND JUU YA KUVUJA KWA NYIMBO HIYO'




























HII NDO KAULI YA DIAMOND
"kweli kabisa siku release na hiyo nyimbo hapo ilipo haijaisha kabisa, hap katikati nilikua na sim yangu blackberry bold 4 niliipoteza bahati mbaya ikaibiwa, nilikua natoka nyumbani naenda magomeni, nafika kariakoo nakuta siioni sim. hasa katika sim mara nyingi nakuwa sometimes naweka nyimbo, kwasababu moja ya gari yangu haina cd, nilikua sijaweka sound, nikawa nasikiliza kupitia sim yangu nachomeka katika gari.ila kila kitu kinachotokea kwangu sometimes namshukuru mungu kwasababu yeye ndio anaandika, watu wanaipeda sana napoenda kwenye show zangu watu wanataka niimbe..namshukuru sana mungu".
SIKILIZA NYIMBO HII HAPO CHINI







 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa