Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HAYA NDIO YANAYOFANYWA NA DADA ZETU NYAKATI ZA USIKU ---'WEWE UNAONAJE TOA MAONI YAKO BAADA YA KUANGALIA PICHA HIZI 7'

HAYA NDIO YANAYOFANYWA NA DADA ZETU NYAKATI ZA USIKU ---'WEWE UNAONAJE TOA MAONI YAKO BAADA YA KUANGALIA PICHA HIZI 7'



mwanadada akionyesha uwezo wake wa kukatika kihasarahasara


Madada ma nyakati hizi za utandawazi mnatakiwa kubadilika na kujiheshimu,maana wadada wengine ni watu wazima lakini wanafanya mambo kana kwama ndio wanaanza kukua.
Angalia picha hizi tulizo zichukua usiku kwenye sherehe fulani ambapo wadada hawa wakionyesha furaha yao huku wakijidhalilisha mbele ya kadamnasi huku wakiwa wamelewa chakali.
Mikao gani iyo dada


-------------------------------------------------------------------------
Ni wakati wa kinadda kubadilika na kufanya kazi na sio kujidhalilisha namna hii,kwani mwanamke nikiumbe cheny uwezo mkubwa wa kufiri na kufanya maamuzi, ila kama hatukua ni mtu wa kukaa chini na kufikiria.


Ona sasa kufuli nje
Mwanadada mtumziwa akimwaga ladhi
TAZAMO NA MAONI!
TUACHE KUFANYA VITU KWA KUIGA NA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI!!!





 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa