Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » CHAZ BABA ACHUMBIA KWA MAHALI YA MIL.1 NA LAKI 9

CHAZ BABA ACHUMBIA KWA MAHALI YA MIL.1 NA LAKI 9

Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ akiwa na mchumba wake Rehema Sospeter Marwa.
 RAIS wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya Mashujaa, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ amemchumbia demu mmoja aitwaye Rehema Sospeter Marwa, Ijumaa limenyetishiwa.


Akizungumza na mwandishi wetu, Chaz Baba alisema kuwa, amefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa, Rehema ndiye mwanamke sahihi anayestahili kuingia naye kwenye ndoa.
“Kwa kifupi Jumapili iliyopita nilishamtolea mahari Rehema na huyo ndiye shemeji yenu. Nilitakiwa kutoa shilingi 1,900,000, nikalipa nusu na siku chache zijazo nitamalizia ili niweze kufunga ndoa,” alisema Chaz Baba.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa