Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BAADA YA MPENZI WAKE DIAMOND 'VJ PENNY' KUBEBA MIMBA-'DIAMOND AMNUNULIA GARI KWA AJILI YA CLINICK '

BAADA YA MPENZI WAKE DIAMOND 'VJ PENNY' KUBEBA MIMBA-'DIAMOND AMNUNULIA GARI KWA AJILI YA CLINICK '


Kupitia kipindi cha XXL cha Super Brand redio clouds fm mwanamziki  Diamond ambaye leo amechia nyimbo yake mpya aliyofanya na Ney wa Mitego amefunguka juu ya yeye kumnunulia gari mpenzi wake Vj Penny ambalo ni kwa ajili ya kumsaidia kwenda Kliniki msikilize hapa


Na hii ndio mfano wa gari anayo tembelea mama mtarajiwa wa mtoto wa Mwanamziki Diamond kabla ya kuletewa gari yake mpya ili kumsaidia shughuli za hapa na pale za kliniki mchumba wake huyo mwenye ujazito wake Vj Penny



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa