Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Showing posts with label bigbrother2013. Show all posts
Showing posts with label bigbrother2013. Show all posts

FEZA KESSY AVAMIWA NA MAJAMBAZI WENYE SILAHA NZITO.....MWENYEWE AFUNGUKA NA KUONGEA KWA MASIKITIKO..!!


            Feza Kessy mshiriki wa Big brother the Chase amepatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi wenye silaha siku mbili zilizopita. Feza Kessy amesema kwamba tangu avamiwe na majambazi hao hajisikii kuwa na amani kabisa. Feza Kessy anaendelea kuwashangaa hao majambazi kwamba silaha walizobeba zilikuwa za nini?, au walidhani kwamba anapesa wakati hakushinda Big brother na alikuwa hana kazi kwa muda miezi mitatu iliyopita. Pole sana Feza Kessy na hizi ni tweet zake akielezea tukio hilo

MSHIRIKI KUTOKA TANZANIA "NANDO" AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER....


Nando  ameendelea  kuitia  aibu  Tanzania  baada  ya  kukumbwa  na  kashfa  mpya  ya  wizi  wa  kamera  ndani  ya  jumba  la  big  brother.

Wizi  huo  unadaiwa  kutendeka  baada  ya  Nando  kualikwa  kushiriki  fainali  za  Big brother  ambapo Dillish aliibuka  mshindi  wa  shindano  hilo.....

Baada  ya   wizi  huo, kamera  za  jumba  hilo  zilimuumbua.Nando  alikamatwa  na  kuamriwa  airejeshe  camera  hiyo.

Source:  << BIG BROTHER>>

DILLISH TOKA NAMIBIA AIBUKA MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013

Fainali za Big Brother zimefikia  tamati  usiku  huu  zikiwa  na  washiriki  watano  ambao  ni  Beverly, Melvin, Cleo, Elikem  na  Dillish.

Mshiriki  wa  kwanza  kutolewa  alikuwa  ni  Beverly  akifuatiwa  na  Melvin  huku  Elikem  akiwa  ni  mshiriki  wa  tatu  kutolewa..

Mchujo  huo  uliwafanya  Cleo  na  Dillish  waingie  katika  masaa  ya  fainali za  mwisho  ambapo  Cleo  alielemewa  na  kutolewa  huku  akimwacha  Dillish  akichekelea  $300,000  za  ushindi  wa  shindano  hilo....

Agalia  jinsi  kura  zilivyopigwa:
 Angola: Dillish
Botswana: Cleo
Ghana: Elikem
Kenya: Dillish
Ethiopia: Beverly
Malawi: Cleo
Namibia: Dillish
Nigeria: Melvin
South Africa: Cleo
Sierra Leone: Elikem
Tanzania: Dillish
Uganda: Dillish
Zambia: Cleo
Zimbabwe: Elikem
Rest of Africa: Melvin
Total

Dillish = 5, Cleo = 4, Elikem = 3, Melvin = 2, Beverly = 1.
 
Hongera sana Dillish

WASHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA(BBA) NDANI YA SKENDO YA "KUSAGANA"

Tabia ya Washiriki wa BBA 2012 kutoka Sierra Leone, Zainab Sheriff na Bbabalwa Mneno maaruf kama Berbs kutoka South Africa kubusiana Hadharani imetoa maswali yasiyo na majibu kwa wadau kwamba huenda wawili hao wakawa wanatabia ya usagaji.
Angalia Picha zaidi Chini halafu useme Mtazamo wako.

photoW

SAFARI YA FEZA KESSY ILIFIKIA TAMATI JANA USIKU NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER......KARIBU NYUMBANI DADA YETU

Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza Kessy kutolewa.
Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuliaga shindano hilo huku Cleo na Dillish waliokuwa dangerzone wakibaki salama.


  Feza aliyekuwa ameshikilia bendera ya Tanzania wakati wa eviction hakuonekana kushtuka sana baada ya mtangazaji wa eviction show IK kumtaja kuwa ndiye anayefungasha mizigo, huenda kwasababu tayari alikuwa ameshakata tamaa ya kubaki toka wiki iliyopita.

 
Matumaini ya Feza yalionekana kufifia kuanzia eviction ya wiki iliyopita ambayo hakuamini kuona amebaki huku kipenzi chake Oneal akitolewa, lakini katika dairy session ya jana jioni masaa machache kabla ya eviction pia alisikika akimwambia biggie “I feel like it is over for me,” baada ya Biggie kumuuliza alimaanisha nini aliposema “I have lost hope but not in a bad way I think it is a defence mechanism”.
 
Nguvu ya ushindi kwa Feza ilianza kupungua siku kadhaa baada ya kuzama kwenye mapenzi na Oneal kiasi cha kuwafanya washiriki wenzao kuwaona wanajitenga muda mwingi na kujisahahu kuwa wapo mchezoni.

 
Moja ya maswali ambayo IK alimuuliza Feza baada ya kutoka ni kama bado anampenda Oneal, na jibu lilikuwa “Yes I do”, je unadhani hii inamaanisha kuna kitakachoendelea sasa baada ya ONEZA wote wawili kurudi katika maisha yao ya kawaida?


Baada ya Feza kuondolewa katika The Chase sasa Tanzania inaungana na Kenya na Uganda kubaki kuwa watazamaji baada ya washiriki wote wa Afrika mashariki kutolewa.


Nigeria ndio nchi pekee ambayo mpaka sasa washiriki wake wote wawli Melvin na Beverly bado wako mchezoni wakiwa ni miongoni mwa washiriki 7 waliosalia huku zikiwa zimesalia siku 13 kufika fainali. Unahisi nani ataondoka na $300,000 za Big Brother mwaka huu?

FEZA KESSY AONDOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRCA.


 
Dada  yetu  aliyekuwa  akituwakilisha  katika  shindano  la  Big Brother Africa  ameondolewa  rasmi  usiku  huu....


Kwa  sasa  Tanzania  hatuna  mwakilishi  tena  ndani  ya  jumba  hilo.

WASHIRIKI WENGINE BIG BROTHER WAFANYA MAPENZI LIVE MBELE YA KAMERA








BOFYA >>HAPA<< KUANGALIA VIDEO HIYO

FEZA AONGOZA KUCHUKIWA NA WENZAKE NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER.

Habari mbaya kwa Tanzania, Feza Kessy ni miongoni mwa washiriki watatu waliopigiwa kura zaidi kutoka wiki hii...FEZA amepata kura nyingi zaidi hii inaonyesha kuwa ndio mshiriki anayechukiwa zaidi ndani ya jumba hilo...

Feza ameungana na mpenzi wake Oneal na Elikem kwenye kikaango hicho cha eviction. Wa kwanza kumtaja Feza kwa kudai kuwa ni mbeya na jinsi anavyopenda kuwakusanya washiriki wenzake na kuwashawishi mi Msouth, Angelo.

Beverly wa Nigeria pia amemtaja Feza kwa madai kuwa ana upinzani mkali kwenye shindano hilo.

Elikem amewataja Oneal na Feza huku Cleo wa Zambia akimtaja Feza kwa madai kuwa ni tishio kubwa kwake na kusema wazi kuwa hataki kumuona Feza anaondoka na dola laki tatu.

Haya sasa muda wa kuanza kumpigia kura Feza Kessy asitoke ndio huu.

VIDEO NA PICHA JINSI NANDO ALIVYOTOLEWA NADNI YA JUMBA LA BIG BROTHER



5


Channel 197 & 198 za DSTV zimeendelea kutoa huduma ya kutazama bure washiriki wa Afrika wanaozifukuzia dola laki moja za shindano la Big Brother Afrika 2013 The Chase ambapo Tanzania ilikua ikiwakilishwa na Nando pamoja na Feza Kessy.


Saa tano usiku wa July 28 2013 zikiwa zimepita dakika kadhaa tangu Annabel wa Kenya na Sulu wa Zambia kutolewa kwenye eviction ya kawaida kila jumapili, Nando amekua Mtanzania wa kwanza kutolewa kwenye jumba la BBA Johannesburg South Africa 2013 baada ya ugomvi wake na mshiriki Elikem wa Ghana.


Ni ugomvi ambao ulitokea Ijumaa kwa wawili hao kutukanana matusi mpaka yaliyowajumlishia na wazazi ndani yake ambapo Nando alivuka mipaka ya sheria za BBA hivyo kuitwa kwenye Diary Room na kuonyeshwa video ya kilichotokea na dakika kadhaa baadae akatolewa BBA akiwa hapohapo Diary Room, hakuruhusiwa kurudi kuwaaga washiriki wenzake.


Hizi picha na video ambayo iko chini kabisa ni mfululizo wa matukio mbalimbali muda mfupi tu baada ya Nando kutolewa BBA.


1


Bimp wa Ethiopia alikua mshkaji sana wa Nando, hapa alikua na huzuni baada ya Nando kutolewa2 

Hii picha hapa juu ni wakati Nando yuko Diary Room akionyeshwa video ya wakati wa ugomvi wake na Elikem na matusi aliyokua akiyaporomosha.


Hasira za Nando zilipitiliza mpaka kudiriki kusema mtu kama Elikem anastahili kufa ambapo pia baadae Nando alikutwa akiwa amelala na mkasi chini ya kitanda chake ikiwa sio mara ya kwanza kukutwa na silaha ndani ya BBA house, jamaa amekua na wiki 9 za historia kwenye The Chase.


Mwezi uliopita Nando alipewa onyo na Biggie baada ya kuvunja sheria kwa kuonekana akiwa na kisu kwenye party ya Channel O.4


3


6


Feza na ‘shemeji’ muda mfupi tu baada ya Nando kutolewa.7


8


9 

Baada ya Nando kutolewa Feza alinyanyuka na kwenda kukaa na Bimp wa Ethiopia, mshkaji wa Nando ambae alionekana kuwa na huzuni.


10


11 

Hii sio mara ya kwanza kwa Mtanzania kutolewa BBA kwa kuvunja sheria, mwaka 2011 Lotus alitolewa baada ya ugomvi wake na Luclay kuvuka mipaka na kupelekea Mtangazaji huyu kuvunja sheria za BBA.


MSHIRIKI WA TANZANIA ( NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE


 
Jana usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem.

Itakumbukwa kwamba siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem. Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa na Nando.

Kwa mujibu wa sheria za Big Brother mwaka huu, kuanzisha ugomvi ni kosa ambalo hupelekea kupata 'strike' ama onyo.

3 strike rule ni mtindo unaotumika msimu huu. Kwa mujibu wa Big brother, yeyote atakaye fanya makosa matatu makubwa na kupewa maonyo matatu basi moja kwa moja anatakiwa atimuliwe..

Sheria hiyo imetumika kumtimua Nando kwa sababu 1. Alianzisha ugomvi siku ya Ijumaa, 2. Alishiriki ugomvi na Elikem na 3. Alitishia maisha, "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die"...

Katika kipindi cha wiki 9 za ushiriki wake katika jumba hilo, Nando amekutwa na misuko suko kadhaa ikiwemo kuwahi kukutwa na kisu katika Party ya Channel O pia kukutwa na mkasi chini ya kitanda kitu ambacho ni kinyume cha sheria za big brother.

Kutokana na ugomvi huo Elikem alipata strike moja.

Big brother alimtaka Nando aondoke katika jumba lake hilo na kutumia fursa hiyo kuwataka washiriki wengine waishi kama watu wazima.



MSHIRIKI WA TANZANIA "NANDO" KUPANINDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUMZALILISHA "SELLY" KWA MADAI AMEMWAMBUKIZA GONJWA LA ZINAA NDANI YA JUMBA LA BIGBROTHER

 
Mshiriki wa pekee katika Jumba la BBA The Chase Selly kutoka nchini Ghana, amesema ya kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka mshiriki kutoka nchini Tanzania Nando kwa kitendo cha kumdhalilisha na kumsingizia amemuambukiza Ugonjwa wa Zinaa.


Baada ya kutolewa katika jumba hilo wiki iliyopita, Selly ameshauriwa na mama yake na tayari wamewasiliana na Waandaji wa Shindano hilo. " Nimepima  sijakutwa na maambukizi ya aina yoyote ya Magonjwa ya Zinaa wala sina historia hiyo" Alisema Selly.


" Mimi na Nando hatukufanya Mapenzi zaidi ya kucheza tu Kitandani, nashangaa hata kwa kiasi gani mambo yamekuwa hivi" Aliongeza Mrembo huyo.

MSHIRIKI WA TANZANIA KATIKA BIGBROTHER "FEZA KESSY" AGONGANISHA " MABWANA" NDANI YA JUMBA HILO

 
Shemeji yetu Mbotswana, Oneal amechukizwa na kitendo cha Feza Kessy kwenda kuoga na mwanaume mwingine.
Jana jioni, Feza ilimlazimu amuombe msamaha mpenzi wake huyo aliyeoneshwa kuumizwa roho na kitendo hicho.
.

 “Umefanya tena leo asubuhi. Umeniacha kitandani na kwenda kuoga na mwanaume aliye UCHI. I was so disappointed”, alisema Oneal ambaye hata hivyo hakumtaja mwanaume huyo.

“What was wrong with this particular shower”, aliuliza Feza ambaye alijibiwa na Oneal,”He was naked”.

Wasiwasi wa Oneal ni kama vyombo vya habari vya Tanzania vikipata picha hizo zinazomuonesha Feza akioga na mwanaume mwingine bafuni na kuzitumia, jambo ambalo linaweza kutia doa mapenzi yao.


Mrembo huyo wa Tanzania alimuomba msamaha mpenzi wake na kisha kumkumbatia na kumbusu huku wakijifunika shuka gubigubi, kitu kilichomaliza hasira za Mtswana huyo

WAKATI NANDO AKIHANGAIKA NA GONJWA LA ZINAA ALOPEWA, FEZA NAYE AMETANGAZA NIA YAKE YA KUZALISHWA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER


Huenda Jay (mtoto wa kiume wa Feza Kessy) anaweza kupata wadogo zake wa kucheza nao soon. Hiyo ni kutokana na mama yake anayeiwakilisha Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’ kumwambia mchumba wake raia wa Botswana, Oneal kuwa angependa azae naye watoto.


Wapenzi hao waliopo Ruby House walikuwa wakiongea mipango kuhusu uhusiano wao kwenye chumba cha Rendezvous mjengoni humo.
 
“Please put a little thought into your answers,” anasikika Oneal akimwambia Feza.
 
“Natamani tungekuwa na mazungumzo haya bila kamera zozote zinazotuzunguka,” Feza alimjibu Oneal.

Lakini baadaye alimjibu, “Nataka furaha na wewe, future, nataka mahaba, nataka watoto, nataka maisha na wewe.” 

Hata hivyo Feza amekisema kitu kinachomkwaza toka kwa Mbotswana huyo anayefanya kazi ya UDJ nchini mwao kuwa wanapokorofishana yeye huondoka bila kuyamaliza japo amesema atajaribu kumwelewa.
 
“I know I am a complex man, I don’t even understand myself at times,” alikiri Oneal.

MSHIRIKI WA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER "NANDO" AELEZA SABABU ZA KUPIGA GAME (SEX) KAVU KAVU NAKUPATA GONJWA LA ZINAA KATIKA JUMBA HILO

 
Akiongea  kwa  uchungu  na  huzuni  mbele  ya  Bimp,Nando ambaye  ni Mshiriki wa Tanzania  amemlaani  mshiriki wa  Ghana  kwa  kumwambukiza  GONJWA LA  ZINAA...

Nando  amelinyaka  gonjwa  la  zinaa  maarufu  kwa  jina  la  "Chlamydia"  na  hivi  sasa  yuko  katika  dozi.Gonjwa  hilo  amelinasa  baada  ya  kungonoka  na  SELLY   bila  KONDOMU.....  


Kwa  nini  Nando  hakutumia  Kondomu?


Akiongea  na  Bimp ambaye  ni  mshiriki   toka  Ethipia, Nando  amekaririwa  akidai  kuwa Selly  aligoma  kutumia  kondomu.



Kwa  kuwa  alikuwa  na  HAMU  na  tayari  stimu  zilikuwa  juu , Nando  anadai  kuwa  hakuwa  na  jinsi  zaidi  ya  kulikamua   TUNDA    bila  kulimenya....


Namkariri:
"You know I hate that bi*ch !
I'm f*cking frustrated cos that bi*ch *Selly* gave me STD! That's why my blood pressure was high yesterday!"


Pole Nando, kama  kauli  yako  ni  ya  kweli, nenda  kapime  na  ngoma.

WANASHERIA WA ETHIOPIA WAAPA KUMSHITAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER


Wakati  baadhi ya  watanzania  wakifurahia  madudu  ya  washiriki  wetu  ndani  ya  jumba  la  Big Brother, wenzetu  wa  Ethiopia  wameanza  kuchukua  hatua  stahiki  dhidi  ya  mshiriki  wao  aliyekubali  kufanya  mapenzi  hadharani....

Kundi  la  wanashiria  toka Adds  Ababa  limetangaza  kuwa  kwa  sasa  lipo  katika  hatua  za  mwisho  za  kukamilisha  mashitaka  dhidi  ya  mshiriki  wa  mwaka  huu  ambaye  ni  Betty  alionekana  mara  kadhaa  akingonoka  na  Bolt  hadharani  kama  mbwa...!!!!

Big  Brother  siyo  shindano  la  kungonoka  na  kuoneshana  ujuzi  wa  tendo  la  ndoa.....Hili  ni  funzo  kwa  washiriki  wetu  Feza  na  Nando

O'NEAL ANAZIDI KUMFAIDI DADA ETU FEZA MJENGONI, CHEKI ANAVOMLA DENDA WAZIWAZI AKATI ATA MAHARI AJATOA


Mshiriki  wa  Botswana, Oneal   ameendeleea  kuyafaidi  mate  ya  dada  yetu   ambapo  wakati  huu  jamaa  huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu"  kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania.


Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni.


Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida. 

Muda  mfupi  baadaye, Feza  na  Oneal  walianza  kubadilishana  mate  na  ndimi...!!!!!!!

WAGHANA WAMLAANI NANDO WA TANZANIA KWA KUZINI NA DEMU WAO ( SELLY) NDANI YA BBA....

 
Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana  waliucheza ule mchezo wa kikubwa   katika Big Brother ‘The Chase’ inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla kushuhudia mechi hiyo ya
kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly wamemshauri ampige kibuti.


Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila mmoja anamahusiano huko alikotoka, lakini mission iliyowapeleka BBA ‘The Chase’ ni kushinda $300,000 inayomsubiri kinara mmoja, na ili kupenya njia nyembamba za kuufikia ushindi kila mmoja anajitahidi kufumba macho na kujisahaulisha kama camera ziko on ili aweze ku accomplish mission hiyo bila kujali njia anazotumia.


Baada ya video clip ya wapenzi wa BBA The chase Nando na Selly wakifanya mapenzi kusambaa ,baadhi ya watu wa karibu na boyfriend wa Selly wa Ghana wametoa maoni yao juu ya kitendo hicho cha ‘aibu’.


Steven Fiawoo maarufu nchini Ghana kama Praye Tiatia ndiye boyfriend wa Selly, na ni msanii maarufu nchini humo.

Praye na Selly


Kwa mujibu wa mtandao wa News One wa Ghana, CEO wa Record lebel ya nchini humo iitwayo Bull Haus Entertainment, Bull Dog ni kati ya watu ambao wametoa maoni yao juu ya kitendo alichokifanya shemeji yao ‘Selly’, na kusema kwamba kama yeye angekuwa Praye (something that will never be) angevunja mahusiano na Selly bila kujali sababu za kufanya hivyo.


“One thing I will note is that the BBA is just a game and there is no way I’m going to agree that my girlfriend or wife will go there and have sex in order to bring home that money. If I do that, then it means I’m lazy as a man and I’m unable to take care of my girlfriend or wife. Let us not forget the Praye Tiatia is a celebrity,” Alisema Bull Dog.


Katika Interview aliyofanyiwa na mtandao huo, Bull Dog alimshauri Praye aachane na Selly kwasababu yeye ni mtu maarufu na amemtia aibu kwa kiasi kikubwa kwa kufanya mapenzi na Nando huku karibia Afrika nzima ikishuhudia kupitia TV zao.

“Maybe if it was just a kiss I would have let it go but going to the extent of having sex? Not me, I won’t allow that because the whole world saw you giving it out willingly.” Aliongeza Bull Dog.


Kwa mujibu wa Ghana Web Mama mzazi wa Selly aitwaye Benedicta Galley amemtetea binti yake kuhusiana na maneno yanayozungumzwa na watu kwa kitendo alichokifanya.

 Akizungumza exclusive na kituo cha Peace FM, Mrs Galley alisema yeye haamini kama mwanae na Nando wali fanya  mapenzi, sababu alichokiona katika video ni wawili hao wamejifunika blanketi hivyo hata ‘biggie’ hana ushahidi wa kilichokuwa kinaendelea chini ya blanketi hivyo watu wasimhukumu binti yake.


“In the Big Brother house things are not that open especially about the romantic scenes for everybody to see that people are having sexy openly because everything is done under the blanket. We always see male and females together so for me I don’t think they had sex as it is being speculated all over”. Alisema.


Benedecta aliongeza kuwa amefurahishwa na kitendo cha boyfriend wa Selly, Praye Tiatia kukataa kutoa maoni yake kuhusu swala hilo na kuwa anamsubiri Selly atakaporudi 
Ghana ampe nafasi kuelezea ukweli wa kilichotokea.
 
Couple nyingine ambayo video clip ilivuja ikionesha wakikata kiu ya viungo viwili muhimu vya mwili ni Betty ambaye tayari ameshauaga mchezo pamoja na Bolt.

VIDEO ZA MSHIRIKI WA TANZANIA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER ...BOFYA HAPA KUANGAALIA PART 1 NA PART 2 YA VIDEO YAO


Mshiriki wa  kiume   wa  Tanzania, Nando  ametutia  aibu  baada  ya  uvumilivu  kumshinda  na  kuamua  kufanya  tendo la  ngono  hadharani  akiwa  katika  jumba  la  big  brother....

Kamera  za  BBA zinamuonesha  wazi  Nando  akikata  mauno  kwa  mwanadada  Selly wa  Ghana  mithili  ya  mtu  ambaye  hajawahi  fanya  tendo  hilo  kwa  miaka  200  iliyopita

WASHIRIKI WA BIG BROTHER WAZIDI KUUMBUKA....BINTI MWINGINE ANASWA "AKIJICHUA " BAFUNI


Hali  ni  mbaya  kwa  dada  zetu  walioko  ndani  ya  jumba  la  big  brother  baada  ya  washiriki  wawili  mfululizo  kuanikwa   na  camera  za  jumba  hilo wakipiga  wakipiga  puny**t  bafuni...
 Jana  ilikuwa  ni  zamu  ya  pokello, video  inajieleza
Kuitazama  ni  sharti  uwe  mtu  mzima  na  ni  hiari  pia

MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY ) AKIMUOGESHA MSHIRIKI WA ZIMBABWE ( HAKEEM) NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER


Video hizi  hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo....

Wahiriki wote wa big brother wanajua  ya  kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na kumwanika hadharani....

Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...

Hakeem
Huyu ni mshiriki toka zimbabwe aliyepata bahati ya kuoga na dada yetu Feza ndani ya bafu moja 

Feza
 Huyu ni mshiriki toka Tanzania....Yuko ndani ya afu moja akioga na mshiriki  wa Zimbabwe.....

Dakika chache baada ya kila mmoja kuoga kivyake,Hakeem anaamua kumuomba Feza amsugue mgongoni....

Video iko hapo chini....Kuitazama ni shart uwe mtu mzima na ni hiari pia. 

<<  VIDEO  IKO HAPA >>
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa