Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO YA MASHUDA WAKIELEZEA KILICHOTOKEA JUU YA MWANDISHI WA ITV KUPIGWA RISASI NA MAMA YAKE KUUWAWA BAADA YA KUPIGWA RISASI NA MPENZI WAKE

VIDEO YA MASHUDA WAKIELEZEA KILICHOTOKEA JUU YA MWANDISHI WA ITV KUPIGWA RISASI NA MAMA YAKE KUUWAWA BAADA YA KUPIGWA RISASI NA MPENZI WAKE


Mwandishi wa ITV/Radio ONe Ufoo Saro akiingizwa Kitengo cha dharura katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mwandishi wa kituo cha Itv /Radio One Ufoo Saro amepigwa risasi nyumbani kwao eneo la Kibamba jijini Dar es salaam na kukimbizwa kwa matibabu ya haraka katika hospitali ya taifa ya Muhimbili,ambapo katika tukio hilo mama yake mzazi na ufoo saro ameuawa kwa kupigwa risasi huku mhusika aliyefanya tukio hilo naye amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.
CHEKI VIDEO HAPA CHINI..


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa