Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAITI NYINGINE YA AJABU YAGOMA KUSAFIRISHWA KWENDA KUZIKWA NCHINI KENYA....ANGALIA VIDEO YA KUSHANGAZA

MAITI NYINGINE YA AJABU YAGOMA KUSAFIRISHWA KWENDA KUZIKWA NCHINI KENYA....ANGALIA VIDEO YA KUSHANGAZA

Wakaazi wa mtaa wa kwanza wa Mathare Kaskazini nchini kenya walishuhudia kioja cha mwaka pale maiti ilipogoma kusafirishwa jana usiku hadi eneo la Kendu Bay kwenye kaunti ya Homabay. Maiti ya mwenda zake Peter Otieno ilisafirishwa baadaye leo alasiri mishale ya saa tisa kasorobo baada ya jamaa zake wa karibu kufanya mila na desturi ya jamii ya waluo ambapo maiti ilibembelezwa na kubadilisha mwili wa marehemu kwenye jeneza ili kichwa kilalie upande wa nyuma wa jeneza.




TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO HAPA CHINI



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa