Picha hizi zinatosha kuthibitisha kwamba Agness Masogange ambaye siku hizi anajiita Agness MATAKO yuko huru mtaani.....
Agness alikamatwa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini na vyombo vya habari vya nchi hiyo viliripoti hivyo....
Mapema wiki hii, taarifa zilibadilishwa na kuripotiwa kuwa madawa aliyokamatwa nayo si ya kulevya...

Picha hizi Amezipiga akiwa Gym leo asubuhi zinazidi kutoa ushahidi kuwa yupo Mtaani ...au jela za South Mambo ndio hivi ? We unasemaje?