BREAKING NEWZ....!!! VIJANA 11 WAKAMATWA WAKIJIFUNZA MAFUNZO YA AL QAEDA NA AL SHABAAB HUKO MTWARA..!!
Vijana 11 wamekamatwa Mkoani Mtwara wanafanya mazoezi katika msitu wa Makolionga na CD zenye mafunzo ya kigaidi za Al Qaeda na Al Shabab pamoja na zana za hatari
HABARI KAMILI ITAWAJIA BAADA YA MUDA MFUPI.
source-itv