Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA ZA LULU NA WASANII WENGINE WALIO TEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA KATIKA SIKU YA KUENZI MAREHEMU KANUMBA

PICHA ZA LULU NA WASANII WENGINE WALIO TEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA KATIKA SIKU YA KUENZI MAREHEMU KANUMBA



 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo














 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa